Kakofia Keusi

Kakofia Keusi

Anna Samwel

Hardcover

52 Seiten

ISBN-13: 9783751957687

Verlag: Books on Demand

Erscheinungsdatum: 23.06.2020

Sprache: Swahili

Farbe: Ja

Bewertung::
0%
20,99 €

inkl. MwSt. / portofrei

sofort verfügbar

Ihr eigenes Buch!

Werden Sie Autor mit BoD und bringen Sie Ihr Buch und E-Book in den Buchhandel.

Mehr erfahren
KAKOFIA KEUSI

Kakofia Keusi ni mtoto anayeishi barani Afrika.

Siku moja, alitumwa na mama yake kwenda kijiji cha jirani kuwapeleka chakula bibi na babu yake, kwa sababu walikuwa wagonjwa.

Kakofia Keusi alimkubalia mama yake na kuondoka.
Alipita njia ya mkato ya mwituni ili afike upesi.

Je, Kakofia Keusi atafanikiwa kufika kwa bibi na babu yake salama?

Safiri naye ili ujionee mwenyewe jinsi anavyoupita mwitu huo.
Anna Samwel

Anna Samwel

KUHUSU MWANDISHI

Anna Samwel ni mwandishi wa vitabu vya hadithi za watoto kwa lugha ya Kiswahili, Kingereza na Kijerumani.

Pia ni mwandishi wa riwaya za watu wazima.

KAKOFIA KEUSI ni kitabu chake cha kwanza cha hadithi za watoto.

Kitabu hiki kimefasiriwa katika lugha ya Kingereza:
LITTLE BLACK CAPPY

Kwa Kijerumani:
SCHWARZKÄPPCHEN

Kwa Kifaransa:
LE PETIT CHAPERON NOIR

Es sind momentan noch keine Pressestimmen vorhanden.

Eigene Bewertung schreiben
Bitte melden Sie sich hier an, um eine Bewertung abzugeben.